Friday, February 23, 2018 Mwandishi Mariam Mziwanda wa Gazeti la Uhuru anusurika kifo katika Ajali ya malori na gari ndogo

Mwandishi wa habari wa Gazeti la Uhuru,  Mariam Mziwanda, amejeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu, eneo la Tabata TOT jiji...
Read More

Friday, February 23, 2018 Updates: Ibada ya Kuuaga Mwili wa Akwilina Kanisaini Inaendelea

Mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini umeshapelekwa  katika Kanisa la Mtakatifu Theresia Par...
Read More

Wednesday, February 21, 2018 Mwenyekiti Wa Halmashauri Ya Misungwi Na Mwanasheria Wakamatwa

  JESHI la Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana  na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) mkoani hapa  imemk...
Read More

BABA WA AKWILINA "ATOA NENO ZITO" KIFO CHA MWANAE...AELEZA ATAKACHOMFANYA MUUAJI

Akwilini Shirima ambaye ni baba mzazi wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyepigwa risas...
Read More

RIPOTI YA UCHUNGUZI KIFO CHA MWANAFUNZI ALIYEPIGWA RISASI NA POLISI YAZUA TAFRANI MUHIMBILI

Ndugu wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi, jana walisusia...
Read More

Wednesday, February 14, 2018 Watatu wakamatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya kwa kukutwa na Meno ya Tembo

Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalif...
Read More

Wednesday, February 14, 2018 Rais Magufuli Aungana na Wauminii Katika Misa ya Majivu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu wakati wa ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la...
Read More