Mix PICHA 32: Nape Nnauye alivyopokewa jimboni kwake Mtama

 

Mbunge wa Mtama Lindi Nape Nnauye amerudi jimboni kwake na kuzungumza na Wananchi kwa mara ya kwanza toka aondolewe kwenye baraza la Mawaziri alikokua akitumikia nafasi ya Waziri wa habari, sanaa, Utamaduni na michezo.
Wakati anaingia Wanawake walijilaza chini na kumruhusu Mbunge wao apite juu yao
Hizi ni picha tu kwa sasa lakini video ya tukio lote naifanyia kazi na utaipata kwenye Youtube ya 


FULL VIDEO: Nape Nnauye alivyozuiwa na Polisi ‘alietoa Bastola aje hapa’ PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA FULL VIDEO



Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment