Mwigizaji Wema Sepetu kwenye jarida kubwa nchini Kenya

 

Ni mwigizaji staa wa Tanzania, Wema Sepetu ambae amekuwa akitajwa mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii sasa time hii ame cover jarida kubwa liitwalo True Love Magazine  East Africa la nchini Kenya.

 

Jarida hilo jipya linatarajiwa kuachiwa rasmi kwenye msimu wa Pasaka ambapo kupitia ukurasa wa instagram wamiliki wa jarida hilo waliyaandika haya…>>>>’This month Tanzania’s Sweetheart, the gorgeous @wemasepetu graces our cover. She opens up about Money, Men, Love and Loss. Be sure to grab a copy to see what she has been up to and also read about Easter plans and gateways.

 Happy new month’- True Love Magazine  East Africa
ULIIKOSA HAYA MAJIBU YA BASATA KUHUSU SABABU ZA KUTOFANYIKA KWA TUZO ZA KTMA BASI ITAZAME..

 





 
Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment