ILIPOISHIA
Eddy
taratibu akapanga foleni ya kutokea nje, huku kila abiria akikaguliwa
kutoka kwenye uwanja huo. Ikafika zamu yake ambapo akampatia dada mmoja
mkaguzi hati yake ya kusafiria{Passport). Dada huyo akaipitisha kwenye
mashine maalumu, akayanyanyua macho yake na kumtazama Eddy kwa umakini.
Dada huyo akanyanyua simu yake na kuzungumza kitu ambacho Eddy
hakukielewa, gafla Eddy akaona kundi la polisi likimfwata wakiwa na mbwa
pamoja na bundiki.
Kwa
mara ya kwanza alipo watazama alijifariji labda kuna mtu wanaye mfwata
tofauti na yeye. Ila kadri walivyo zidi kuja ndivyo wlivyo zidi kumlenga
yeye huku macho yao yote wakimtazama, na ndani ya dakika wakawa
wamemzingira Eddy na kumuweka kati, asitambue sababu ni nini ya askari
hao kumzunguka.
ENDELEA
Karibia watu wote walio Karibia na eneo hilo, macho yao waliyelekezea eneo walipo simama askari pamoja na Eddy aliye wekwa kati.
"Upon chini ya ulinzi"
Askari
mmoja alizungumza kwa lugha ya kingereza na kumfanya Eddy amkodolee
macho pasipo kuelewa haswa ni nini kosa alilo litenda hadi akamatwe.
"Kwa kosa gani?"
"Una haki ya kukaa kimya, na si kuuliza maswali. Mpigeni pingu mpelekeni chumba cha mahojiano"
Kutokana
na kuziheshimu sheria za nchi hiyo ambazo ni kali kwa waalifu wake,
Eddy akakubali kipigwa pingu mikononi mwake. Hakuhitaji askari hao
wamsumbue, kwa mwendo wa taratibu wakatembea kuelekea katika chumba cha
mahojiano.
Begi
la Eddy likawekwa juu ya meza aliyo ikuta ndani ya chumba hicho.
Wakaanza kulipekua, wakakuta nguo pamoja na pesa ambazo Eddy alihitaji
kuzitumia akiwa katik nchi hiyo. Cha kushangaza aksari hao watano
wakagawana pesa yake pasipo kumueleza Eddy jambo lolote.
"Hembu niambieni basi kwa nini mumenikamata?"
"Utajua muda mchache ujao ni kwanini tumekukamata wewe kaa kimya"
Ikamlazimu Eddy kubaki kimya. Hazikupita dakika nyingi akaingia mwanamama mweusi aliye panda juu kiasi.
"Mambo Eddy"
Mwanamama
huyo alitabasamu huku akivuta kiti na kukaa. Eddy akajaribu kuvuta
hisia zake ni wapi alipo muona mwana mama huyo, ila hakupata kumbukumbu
yoyote kwenye kichwa chake, isitoshe mwana mama huyo anazungumza
kiswahili vizuri ikiashiria kwamba yeye ni muafrika tena Mtanzania.
"Mimi ni balozi wa Tanzania hapa Japana ninaitwa mama Ngoi"
"Wewe ndio umeagiza nikamatwe?"
"Hapana ila ni amri kutoka iku. Unatakiwa uweze kurudi nyumbani ukaendelee na majukumu yako ya kikazi"
Eddy
akatabasamu kwa kejeli. Akamtazama mama huyo kuanzia kichwani hadi
kwenye tumbu, sehemu ya chini ya mwili wake hakuweza kuiona kutokana na
kuzibwa na meza kwa chini.
"Kazi eheeee?"
"Ndio
nchi ipo hatarini na katika vitisho vya kulipuliwa kwa bomu la nyuklia.
Wewe ndio unaye hitajika kurudi katika nafasi yako ya uwaziri.
Matukio ya kijambazi yanatokea kila kukicha, isitoshe hata mke wa raisi mwenyewe ametekwa inapata miezi minne sasa"
Eddy
akastuka kusikia Rahab ametekwa, akajiuliza maswali kadhaa kichwani
mwake. Ila hakuhitaji kuonyesha mstuko wake huo kwa maana anatambua
kwamba huo ni uongo kwa Rahab kuweza kutekwa.
"Nisikilize
mama. Sina kitu nilicho kibakisha Tanzania. Sina familia sina chochote
kwa hiyo sihitaji kurudi. Tafadhali waambie kuwa sihitaji kurudi
Tanzania"
"Tayari
maandalizi ya kukurudisha Tanzania yanaendelea huko nje ya uwanja wa
ndege. Tafadhali hii ni kwaajili ya usalama wako na nchi"
"Hembu kwanza nifungulieni hizi pingu. Hauwezi kuzungumzw eti na kiongozi wako ukiwa umenifunga pingu kama muhalifu"
Ushawishi
huo wa Eddy ukamfanya mama huyo, kumuamrisha askari mmoja kufungua
pingu za Eddy pasipo kufahamu kwamba ana dili na mtu wa aina gani. Akili
ya Eddy ikafanya kazi haraka haraka akifikiria kashfa mbaya inayo
endelea ndani ya Tanzania kwamba yeye ni gaidi aliye teka jengo la
Mlimani City.
Moja
kwa moja akatambua kitendo cha yeye kurudi Tanzania nikwenda
kuhukumiwa. Kifungo cha maisha kwani mauaji aliyo yaona ni makubwa sana.
Kazi yake ikaanza kufikiria ni jinsi gani anaweza kutoroka pasipo kujua
ataoroka vipi ikiwa yeye bado ni mgeni katika nchi ya Japan.
***
Kitendo
cha Briton kuendelea kunyonywa uume wake, kilizidi kumkera ila kwa
jinsi biti huyo anavyo zidi kumnyonya ndivyo jinsi alivyo jikuta mwili
ukimsisimka hadi uume wake ukasimama kabisa. Cha kushangaza Dada huyo wa
kikenya akaanza mushangilia akiamini mambo yake yanazidi kuwa mazuri.
Akamuamrisha
msichana huyo kuondolewa katika chumba hicho na kubaki yeye na Briton.
Dada huyo pasipo kuwa na aibu, akaanza kujnyonya uume wa Briton, akazidi
kwenda mbali na hapo kwani akaanza kufanya ngono na Briton pasipo
ridhaa yake. Hasira ya Briton ilizidi kumpanda ila hakuwa na uwezo wa
kufanya jambo lolote kwajinsi alivyo fungwa hakuweza kufanya jambo
lolote.
Dada
huyo alipo maliza matakwa yake, amawaamuru watu wake kumfungulia
Briton, wakambeba mzoga mzoga hadi ndani ya chumba kimoja kikubwa,
ambapo Briton akamuona mzee wa makamo mwenye miaka kati ya arobaini na
tano hadi hamsini na tano akiwa amesimama na bomba la sindano, huku
akiwa amevalia koti jeupe ikiashiria kwamba huyo ni daktari. Briton
akiwa ameshikiliwa hivyo hivyo na majamaa hayo yaliyo gawanyika kwa
misuli mingi. Akachomwa sindano ya shingoni, ndani ya dakika mbili
mbeleni, usingizi mzito ukamchukua na kulala fofofo asijue ni nini
kinacho endelea.
***
Majira
ya saa kumi na mbili jioni. Barabara ya kuelekea mikoni, kuanzia Ubungo
na kwenda mbele maeneo ya kimara zote na mbezi mwisho. Imetulia huku
askari wa usalama barabarani, wakifanya kazi ya kusimamisha magari yote
yanayopita katika barabara hiyo. Wakazi wengi wanao itumia barabara hiyo
walisikika wakilaani kitendo hicho ambacho kinawachelesha wengi wanao
toka makazini, wamisubiria msafara wa raisi uweze kupita.
Foleni
ikazidi kuwa kubwa kiasi cha magari yanayo tokea, Kariakoo, Mwenge na
Tabata kushindwa kwenda. Ving'ora vya pikipiki za polisi pamoja na
magari hayo vikaanza kusikika jirani kabisa na mataa ya Ubungo yalipo.
Wananchi ambao walikuwa wamechukia walijikuta wakichomoza vichwa vyao
kwenye magari kutazama msafara huo ambao mara nyingi husifika kwa gari
zake kwenda kasi na katika mtindo wa kupanua barabara.
"Raisi jioni hii anakwenda wali?"
Mmoja wa wananchi alisikika akimuuliza mwezanke wakiwa ndani ya basi lao dogo linalo tokea kariakoo.
"Mmmm nitajulia wapi ndugu yangu wakati hata ikulu yenyewe sipajui"
Magari
hayo yakazidi kupita kwa mwendo wa kasi huku askari aliye simaama
kwenye eneo hilo la mataa akiyaelekeza magari hayo yanapo hitajika
kwenda. Msafara huo wenye magari kumi na saba, ukapita ila gari nyengine
yenye namba za ikulu, ikiwa imewasha taa zake ikaongezeka kataka
msafara huo na kuongeza idadi ya magari na kufikia kumi na nane.
"Mkuu gari zinatakiwa kuwa ngapi?"
Askari
huyo wa usalama barabarani alizungumza kwa simu yake ya upepo
akimtaarifu kiongozi wa msafara, baada ya kuitilia shaka gari hiyo iliyo
ongezeka.
"Kumi na saba. Over"
"Kuna gari moja ya ikulu imeongezeka muheshimiwa. Una taarifa nayo?"
"Hapana, tutaichukulia uangalizi. Over"
Askari huyo akaanza kuruhusu gari za abiria na wananchi wa kawaida kuendelea na safari zao.
"Madam nimesha jiunga kwenye msafara"
Priscar alizungumza na Rahab kulitia simu ya mkononi.
"Umestukiwa?"
"Sidhani, kwa maana niliuwahi msafara"
"Poa kila kitu kinakwenda kwenye mlango"
"Sawa madam"
Simu
ikakatwa na Priscar akazidi kuongeza mwendo kasi wa gari yake.Taarifa
ya kuongezeka kwa gari katika msafara wa raisi. Akielekea katika handaki
alilo pata habari kwamba mke wake ndipo alipo shikiliwa. Ikaanza
kumchanganya, madereva wote taarifa hiyo wakawa nayo. Mchezo walio
ufanya ni wote kutanua barabara, kisha gari ya Raisi Praygod Makuya,
ikapita mbele kwa mwendo wa kasi kisha hizi nyingine zikaziba kwa nyuma
jambo lililo amza kumpa wasiwasi Priscar.
***
Kutokana
na nguvu aliyo kuwa nayo kwenye kikosi cha Al-Shabab, Shamsa akamuomba
bwana Abdulah Mohamed kuanzisha oparesheni ya kumtafuta Briton.
Hakuficha chochote kwa bwana Abdulah Mohamed. Akamuelezea hisia za
mapenzi ambazo anazo kwa Briton.
Vikosi
vya kigaidi vya kundi hilo vikiongozwa na Shamsa, akiwa amerudi upya
kwenye kazi hiyo kwa lengo la kumtafuta mpenzi wake. Vikaanza oparesheni
ya kuteka meli ambazo zinakatiza katika ukanda wa Somalia. Kila meli
iliyo kamatwa ilifanyiwa upekuzi wa mu mmoja baada ya mwengi.
Kuhakikisha wanamtafuta Briton kwa udi na uvumba. Zoezi hilo lilizidi
kudumu takribani mwenzi mzima, ila hakufanikiwa kuweza kumtia machozi
Briton.
Wazo
la Briton kufa maji likaanza kutawala moyo wake na akili. Kumbukumbu ya
ajali waliyo weza kuipata kipindi walipo kuwa wanatoroka. Ikazidi
kumuogopesha. Unyonge ukaanza kumtawala na kujiona ni msichana asiye na
bahati. Muda mwingi akawa anautumia katika kunywa pombe kali na kulewa
chakari.
Hali
hiyo ikazidi kumsikitisha bwana Abdulah Mohamed. Ikamlazimu kumtafutia
Shamsa madaktari wa saikolojia kutokea Japan. Madaktari hao baada ya
kumfanyia Shamsa uchunguzi wa kina wakatambua, akili yake inakwenda
kuchanganyikiwa kwa ajili ya mapenzi.
Wakamuomba
bwana Abdulah Mohamed, kumruhusu Shamsa waende naye Japan kwa ajili ya
matibabu. Ombi hilo kwa mara ya kwanza likawa gumu sana kwa Bwana
Abdulah Mohamed. Ila kwa jinsi ali ya Shamsa ilivyo zidi kuwa mbaya hadi
kiafya ikamlazimu kumruhusu waondoke naye, ila akiwa na walinzi wangine
wawili wakike. Kwa usafiri maalumu wa ndege ya Jeti ya kifahari inayo
milikiwa na kikundi hicho ikaanza, kuelekea Japan.
***
Eddy hakuhitaji kufanya makosa ya kurudi Tanzania kwa wakati huo. Akawatazama askari waliomo ndani ya kiwanja cha ndege hiyo.
"Naomba niende haja ndogo"
Eddy
alimuomba Mama Ngoi ambaye yupo na baadhi ya askari wa Japan pamoja na
Tanzania wanao mlinda. Eddy akasindikizwa hadi chooni na askari wawili
wa kijapan ambao walibaki nje ya mlango kumsubiri. Eddy akakuta vijana
wawili masharo baro waliomo ndani ya choo hicho, kutokana hakuwa na haja
ya kwenda kwenye haja zinazo takiwa kufanyika chooni.
Alicho
kifanya, nikuwasogelea vijana hao walio simama kwa pamoja wakikojoa
katika sehemu mbili maalumu zinazo fanana. Pasipo kuwauliza akawapiga
maeneo ya nyuma ya shingoni kwa kutumia viganga vyake vilivyo komaa kwa
mazoezi.Vijana hao wakapoteza fahamu. Kwa haraka Eddy akaanza kumvua
nguo mmoja wao. Akazivaa akachukua koti la mmoja wao na kulivaa vizuri,
akachukua na kofia iliyo mficha vizuri sura yake.
Alipo
jitizama kwenye kioo akatabasamu kwani, amebadilika kwa kiasi kikubwa
na si rahisi kwa askari alio waacha nje ya mlango kumtambua. Akajipapasa
kwenye mifuko ya nguo za kijana aliye mchukulia nguo. Akakuta noti
mbili za dola mia mia za kimarekani. Akampapasa mwengine na kumkuta na
yen kumi, pesa ya kijapani.
Pasipo
kupoteza muda akatoka katika choo hicho na kuwakuta askari wakiendelea
kumsubiria. Akawapita kwa kujiamini, askari hao wala haku shuhulika naye
waliendelea kupiga stori zao.
0 comments:
Post a Comment