WANANCHI
wa kijiji cha
Ilimba kata ya
Mkoe wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa
wamelalamikia kitendo cha walakala
wa misitu Tanzania kuto
wachukulia hatua za
kisheria wafugaji walio
ingiza mifugo yao
kwenye hifadhi ya
kae na wakati
wao walistishwa kufanya
shughuri za kibinadamu pamoja
na kufyekewa
zaidi hekta 300 za mahindi.
Wakiongea wakati
wa mkutano wa hadhara wananchi
kijijini hapo wamesema
malalamiko yao yanakuja
kutokana wakala wa mistu
kuto wachulia hatua za
kisheria wafugaji
walio ingiza mifugo kwenye
eneo la hifadhi ya kae na
wakati wao walistishwa
kufanya shughuri za
kilimo na kuyekewa
mazao yao yote
na kuiomba serikali
kuingilia kati swala
hilo kutokana na wafugaji
kulishia mazao yao.
…………………….INSERT………….. WANANCHI…………….
Hali
hiyo imefanya kituo hiki kufanya
mahojiano na meneja
wa mistu wilayani
humo Samweli Matula
, ambae licha ya
kukili kuwepo adha
hiyo amesema wafugaji
wanaingiza mifugo kwa
kinyemera na kuwa
wamejipanga kuweka ulinzi
wa kutosha ili
kuhakikisha wanawakamata.
INSERT……..MENEJA WA
MISTU. KALAMBO.
Aidha amesema
mifugo itakayo kamatwa
kwenye hifadhi hiyo
ita taifishwa na serikali
na kuwataka wafugaji
kuondoa mifugo hiyo
maramoja.
0 comments:
Post a Comment