Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es
Salaam kufatilia maagizo yake ya kudhibiti vitendo vya udanganyifu
vinavyofanywa na wafanyabiashara wanaogiza na kusafirisha mizigo ndani
na nje ya nchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akihesabu makontena 20 yenye mchanga wa madini ambapo ameamuru
kontena hizo zisisafirishwe mahali popote.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na kutoa maagizo mbalimbali kuhusu makontena 20
(yanayoonekana nyuma) yenye mchanga wa madiniuliokuwa usafirishwe
kwenda nje ya nchi ambapo ameagiza Kontena hizo zisisafirishwe mahali
popote.
Makontena 20 yenye mchanga wa madini yakiwa yamezuiwa
kusafirishwa nje ya nchi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli mara alipofanya ziara ya kushtukiza katika
bandari ya Dar es Salaam.
Picha namba 12. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akikagua nyaraka mbalimbali zenye maelezo
kuhusu makontena ambayo husafirishwa nje ya nchi katika Bandari ya Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akiangalia baadhi ya magari yalivyoingizwa nchini na
Wafanyabiashara wakubwa kwa njia isiyo halali ya kudai kuwa ni makontena
ya mitumba wakati ndani yake wanaficha magari yakifahari
wanayoyachanganya na bidhaa zilizochakaa.
Moja ya kontena likiwa lina gari ndani yake aina ya Range Rover
ambapo muagizaji alidai kuwa anaagiza mitumba lakini kumbe ndani yake
anakuwa ameficha magari ya kifahari.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na IGP Ernest Mangu mara baada ya kufanya
ukaguzi Bandarini hapo. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment