Baada ya taarifa zilizoenea zikidai kuwa Katiba ya CCM
imebadilishwa hivyo kumruhusu mgombea wa kiti cha urais ndani ya CCM
kupita bila kupingwa kwa muhula wa pili, leo March 26 2017 Katibu wa
Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole amelitolea ufafanuzi… Tazama hii
video hapa chini.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment