Leo asubuhi ya March 23 2017 taarifa kutoka IKULU ilieleza
kwamba nafasi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amepewa
Dr. Harrison Mwakyembe, baadaye Nape Nnauye alitoa
taarifa kuwa atazungumza na Waandishi wa Habari lakini Meneja wa Hotel
ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema ameagizwa kuwaambia Waandishi
watawanyike na hakutakuwa na mkutano.
Saa chache baadae Nape Nnauye alifika eneo hilo na aliongea na waandishi akiwa juu ya gari. Bonyeza play hapa chini kutazama full video ya alichokiongea.
0 comments:
Post a Comment