Mix VideoFUPI: Nay wa Mitego akitoka kituo cha polisi na alichokiongea

 

Muda mfupi baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, kuagiza Jeshi la Polisi kumuachia huru Msanii Nay wa Mitego ambaye alikuwa akishikiliwa na Jeshi hilo kwa tuhuma za wimbo wake wa ‘WAPO’ kutokuwa na maadili, Nay wa Mitego ametoka kituoni hapo leo March 27 2017.
VIDEO: Uliikosa hii ya Serikali kuliagiza Jeshi la Polisi kumuachia Nay wa Mitego na kuruhusu wimbo wa ‘Wapo’? Bonyeza play hapo chini kutazama.



Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment