Published on 27 Mar 2017
Waziri
wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe ameagiza
Polisi nchini kumuachia msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego aliyekuwa
anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa wimbo usio na
maadili, Waziri Mwakyembe amesema Rais ameshauri wimbo wa 'WAPO'
auboreshe kwa kutaja na wakwepa kodi.

0 comments:
Post a Comment