Vilabu
vya mpira wa miguu mkoani Rukwa vimeundikia barua uongozi
wa chama cha mpira wa miguu mkoani hapa ya kutaka
kumuondoa kwenye ligi ya mkoa , mchezaji wa timu ya motochini
fc Samweli Sulemani kwa madai ya kuingia mikataba na timu
mbili {2} kitu ambacho ni kinyume na taratubu na kanuni za
michezo.
Akiongea
na kituo hiki katibu wa kamati ya mandalizi ya ligi kuu
ngazi ya mkoa Baraka Mazengo , amesema wamepata barua hiyo
kupitia timu ya magogo fc iliopo manispaa ya sumbawanga
ikiutaka uongozi wa chama cha mpira wa miguu mkoani hapa
kumsimamisha kwenye ligi hiyo mchezaji wa timu ya motochini
fc samweli sulemani kwa tuhuma ya kuingia mikataba na timu
mbili 2 ikiwemo timu ya kimondo fc ya mkoani mbeya , motochini
fc na maziwi fc.
ISERT…..KATIBU WA MICHEZO……..
Aidha
mazengo amesema uongozi wa chama cha mipra mkaoani hapa umekaa
kiakao na kufikia maamuzi ya kuitaka timu ya magogo fc
kuleta viambata vinavyo onyesha mikataba aliojaza mchezaji
huyo.
INSERT……KATIBU,,,,,MICHEZO.
Chifu
meneja wa timu ya magogo fc jems kisijai , amesema vimabata
kuhusu mchezaji huyo wanavyo na hivyo wanasubiri barua kutoka
kwa uongozi wa chama chma mpira mkoani hapa.
INSERT……. CHIFU MANEJA TIMU YA MAGOGO FC.
Hata
hivyo juhudi za kumtafuta mchezaji samweli sulemani
zimegonga mwamba baada ya simu yake kuto patikana hewani.
0 comments:
Post a Comment