VIDEO: Waziri Mkuu na Ridhiwani Kikwete kwenye mradi wa maji, mkandarasi kapewa siku 100

 

Alhamisi ya March 30 2017 waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea Wami katika jimbo la Chalinze kufuatilia na kukagua maendeleo ya mradi wa maji wa Jimbo la Chalinze ambapo mbunge wa jimbo hilo Ridhiwani Kikwete amekuwa akiulalamikia kwa muda mrefu kwa niaba ya wakazi wa Chalinze.
Katika ziara hiyo ya waziri Mkuu ambaye alitembelea Wami, Miono na Saadan alitoa siku 100 kwa mkandarasi wa mradi wa usambazaji wa maji Chalinze akamilishe mradi ndani ya siku 100 walau kwa asilimia 80 ikiwemo ujenzi wa matanki 17 ya kuhifadhi maji kabla ya May 31 mwaka huu, hiyo inatokana na mradi huo kusuasua.

 
 

VIDEO: Waziri Mwakyembe na Nay wa Mitego walivyokutana Dodoma

 


Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment