Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli march 23, 2017 kufanya
mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko
hayo ni kamteua Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ametoa maoni kuhusu mabadiliko hayo, Bonyeza play hapa chini kuitazama…
FULLVIDEO: Ripoti ya kamati ya Waziri Nape kuhusu Makonda kuvamia Clouds
0 comments:
Post a Comment