MGOGORO
wa kugombania mpaka kati ya kijiji cha kanyezi na kijiji cha
Majengo wilaya kalambo mkoa Rukwa umeendelea kuchukua sura mpya
baada ya kukosekana kwa maelewano baina ya vijiji hivyo na
huku wananchi wa kijiji cha kanyezi wakigomewa kuingia kwenye
kijiji cha majengo kutokana na migongano ya kisiasa na
kupelekea kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo
kuingilia kati sakata hilo.
Mgogoro
huo uliomudu takribani kwa muda wa mwaka mmoja uanakuja
kufuatia kugawanywa kwa kijiji cha kanyezi na kuwa vijiji
viwili yaani majengo na kanyezi, ambapo kutokana na hali hiyo
imepelekea wananchi wa kijiji cha Majengo kutaka kubadilshwa
kwa mpaka wazamani pamoja na kutaka miliki ya lizevu ya
kijiji hicho kuwa upande wao.
Ambapo
kutoka na hali hiyo iliweza kupelekea kusekekana kwa
maelewano baina ya vijiji hivyo sambamba na wananchi wa kijiji
cha kanyezi kugomewa kuingia kwenye kijiji jilani il;I
kufanya shughuri zao.
Hali
hiyo imefanya mkuu wa wilaya kalambo Julith Binyura kuingilia
kati saka hilo na kuvunja mpaka wa vijiji hivyo na kuweka
mpka mpya sambamba na kuvunja lizevu ya kijiji hicho na
kuiagiza idara ya aridhi na maliasi wilayani humo kuwagawia
wananchi mashamba ya hifadhi hiyo ili kumaliza mgogoro huo.
INSERT…………. MKUU WA WILAYA KALAMBO…..
Diwani wa kata hiyo zenobelo Ndumala , amesema chanzo ni migongano ya kisiasa .
AINSERT……… DIWANI…….
Wananchi
kwa upande wao wamesema chanzo ni migongano ya kisisa
kutokana na wananchi wa kijiji cha majengo kuwa wafuasi wa
Chadema na huku wananchi wa kijiji cha kanyezi kuwa wafuasi
wa chama cha ccm na kupongeza jitihada za uongozi wa wilaya
hiyo kwa kuingilia kati sakata hilo.
…………………..INSERT……… WANANCHI………………..
BARAKA LUSAJO KUTOKA KALAMBO MKOANI RUKWA ANATAARIFA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment