Waziri Mkuu wa Mauritius, Bw.
Pravind Kumar Jugnauth akizungumza katika mkutano wa Biashara na
Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis Machi 23, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiteta na Waziri Mkuu wa Mauritius, Bw. Pravind Kumar Jugnauth katika
mkutano wa Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Mauritius kabla ya
kufungua mkutano huo mjini Port Louis, Machi 23, 2017.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano
wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo mjini Port
Louis Machi 23, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifungua mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na
Mauritius mjini Port Louis nchini Mauritius , Machi 23, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiagana na Waziri Mkuu wa Mauritius, Bw. Pravind Kumar Jugnauth baada
ya kufungua mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na
Mauritius mjini Port Louis Machi 23, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
0 comments:
Post a Comment