BreakingNews BREAKING: Kutoka IKULU, Rais Magufuli katengua uteuzi mwingine leo posted by Peter kapola on March 26, 2017

 

Kazi yangu ni kukusogezea kila kinachotokea kuanzia Michezo, Siasa, habari za mastaa na Breaking News zote ambapo time hii kutoka IKULU Dar es salaam kuna hii ya Rais John Pombe Magufuli ametengua utauzi.

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe March 26 2017 ambapo nafasi hiyo itajazwa baadae.

 

“Unaweza kumchukia mtu lakini usiichukie Tanzania” – Rais Magufuli, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

 

Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment