SUMBAWANGA
MARCH 31
Wananchi
wa kijiji cha mawenzusi wameiomba
serikali kuweza kufika kijijini hapo na kuona hali ya ubovu wa miundombinu
ambayo hailidhishi kwa hali ya kawaida ikiwemo ubovu wa barabara na ukosefu wa maji
safi na salama.
Wakizungumza
na kituo hiki baadhi ya wananchi wamesema kuwa kwa kipindi kirefu wamekuwa
wakitumia maji yasiyo salama kitendo ambacho kinahatalisha maisha yao.
Insert wananchi mawenzusi
0 comments:
Post a Comment