CHIRWA APATA MTOTO WA KIKE

CHIRWA MTOTO 

Mshambuliaji tegemeo kwa kipindi hiki ndani ya klabu ya Yanga  Obrey Chirwa amefanikiwa kupata mtoto wa kike aliyezaliwa usiku wa kuamkia ijumaa huko nchini Zambia.

Chirwa kwa sasa ni miongoni mwa wachezaji tegemo katika kikosi cha Yanga kwenye nafasi ya ushambuliaji hasa baada ya Donald Ngoma na Amisi Tambwe kuwa majeruhi.


Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment