Msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego
ambaye hivi karibuni alitoa wimbo mpya ambao amegusia headlines za
Serikali na mambo mengine ya nchi humo ndani, amekamatwa na Polisi
Morogoro.
Exclusive Interview kamanda wa Polisi Morogoro Ulrich Mtei ambaye ameongea yafuatayo >>> “Ni
kweli huyu Bwana anashikiliwa Morogoro na shauri lake sio la Morogoro
na shauri lake sio la Morogoro, tulipata tu maelekezo kwamba tumtafute“
Kupata full audio ya alichokisema Kamanda Mtei bonyeza play hapa chini……
0 comments:
Post a Comment