Published on 27 Mar 2017
March
27, 2017 Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba alikuwa
Dodoma kuzindua mkutano wa mwaka wa maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi kwa
mwaka 2017 ambapo katika hotuba yake Waziri Nchemba alizungumzia
mkakati wa Serikali kutatua changamoto zinazowakabili Askari Polisi
ikiwemo vitendea kazi
0 comments:
Post a Comment