KANISA la free pentecost church of Tanzania wilayani kalambo mkoani Rukwa , limetoa misaada mbalimbali kwa watoto yatima...

Image result for YATIMA WAPOKEA MSAADA 

KATIKA jitihada  za  kuongeza  kiwango  cha elimu mkoani   Rukwa ,   umoja   wa  wanawake  wa watumishi  (UWW) kupitia  makanisa  ya  Free  Pentecostal  church of  Tanzania (F.P.C.T)  umetoa  misaada   mbalimbali  yenye  thamani  ya shilingi  milioni moja (100,00,00/=) kwa  wanafunzi  yatima  na    wasio jiweza  kwa  lengo  la  kuwawezesha  kuinua kiwango  cha  ufauru  kwenye  masomo  yao.

KANISA    la  free  pentecost  churich   of  Tanzania matai   katika   wilaya   ya  kalambo  mkoani   Rukwa , limetoa  misaada  mbalimbali  kwa   watoto  yatima  na  wanafunzi   kwa  lengo  la

Hayo yamejili  wakati   wa  madhimisho ya  siku  ya  wanawake watumishi  (UWW) kupitia  makanisa   ya Free pentecost church  of  Tanzania na  kufanyika  katika   kanisa  la   F.P.C.T  matai  katika  wilaya  ya  kalambo mkoani  hapa ,

Awali  akisoma Risala  fupi  mbele  ya  mgeni  rasimi     kwenye maadhimisho   hayo Salome  Japhet  Sota , amesema  kwa  kutambua  umuhimu wa  elimu  kwa  taifa  la  Tanzania  (UWW) inaungana  na  Rais wa jamuhuri  ya mungano  wa  Tanzania   John pombe   Maghufuli katika  kuisapoti elimu  hasa   kwa  kuwategemiza  wanafunzi  ambao   ni  yatima na wasio  jiweza.

Diwani  wa   kata   ya  Matai  Vitus   Tenganamba   , ambae alikuwa  ni  mgeni  rasmi   wa  maadhimisho  hayo , amewataka   wachungani  wa madhebu   tofauti   kujitokeza   kuwasaidia   wanafunzi  wasio  jiweza  kwa   kuwapatia  misada mbalimbali ili  kuwezesha  kupata  elimu  bora.

Afisa   elimu   ya  watu  wazima  wilayani  humo Njile  Lyebu  , amewataka   wazazi  na  walezi   kutambua  umuhimu  wa  elimu  kwa  kuwapeleka  watoto wao  shule.

 Kwa upande  wake  mwangalizi  wa  makani  hayo  wilayani  humo   Mchungaji  Adrea    Mwakalinga  , amesema   misaada  hiyo  imetolewa   kwa wanafunzi wa  madehebu  tofauti  na  kuwa  lengo  ni  kuwapatia  motisha   ya  kusoma.

KAPOLA NEWZ....
Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment