VIDEO: Lowassa ahojiwa Makao Makuu ya Polisi kwa saa nne

 

Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya CHADEMA, Edward Lowassa alifika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi asubuhi ya leo June 27, 2017 kuitikia wito wa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai ‘DCI’ kwa ajili ya mahojiano ambapo alihojiwa kwa saa 4.

Baada ya kuondoka kituoni hapo, Wakili wa CHADEMA, Peter Kibatala amezungumza na Waandishi wa Habari ambapo alisema:>>>Alipokea wito wa DCI mahojiano yalihusiana na kile kilichosemakana kuwa kuna kauli alizozitoa ambazo ni za kichochezi, tumefanya mahojiano na polisi wamechukua maelezo yake, ataripoti tena alhamisi saa sita.” – Peter Kibatala.




Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment