Saa 4 asubuhi leo June 27, 2017 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa
alifika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kuitikia wito wa Mkurugenzi wa
Makosa ya Jinai ‘DCI’ kwa ajili ya mahojiano ambapo amekaa takribani saa
4 na miongoni mwa matukio yaliyojiri ni kuondolewa Waandishi katika
eneo la tukio
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment