KATIKA jitihada
za kupambana na
kuenea kwa ugonjwa
kipindupindu mkoani Rukwa
, Serikali katika wilaya
ya Kalambo imepiga
maalfuku wananchi kufanya
shughuri za uvuvi
ikiwemo kuogelea kwenye
ziwa Tanganyika mpaka
pale idara ya
afya itakapo toa taarifa
ya kuisha kwa ugonjwa huo.
Hatua hiyo inakuja
baada ya kutokea
mlipuko wa ugonjwa
wa kipindupindu kwenye
kijiji cha Samazi
kilichopo mwambao wa
ziwa hilo na
kupelekea zaidi ya watu
18 kuathirika na
ugonjwa huo na
mmoja kufariki dunia.
Akiongea na
kituo hiki afisa
kilimo na uvuvi
wilayani humo Wilbroad
kansapa , amesema wametoa taarifa
kwa viongozi wa
nchi jilani ya
Zambia hususani katika
maeneo ya Mpulungu
na Mbala na
wilaya jilani ya
Nkasi juu ya
zuio hilo na kuwa
kwa kutambua hilo
wamenzisha doria ya
kuzungukia ziwa hilo kwa
lengo la kuhakikisha
wavuvi kutoka nchi
jilani hawaingii kuvua
upande wa nchi ya
Tanzania .
KATIKA jitihada
za kupambana na
kuenea kwa ugonjwa
kipindupindu mkoani Rukwa
, Serikali katika wilaya
ya Kalambo imepiga
maalfuku wananchi kufanya
shughuri za uvuvi
ikiwemo kuogelea kwenye
ziwa Tanganyika mpaka
pale idara ya
afya itakapo toa taarifa
ya kuisha kwa ugonjwa huo.
Hatua hiyo inakuja
baada ya kutokea
mlipuko wa ugonjwa
wa kipindupindu kwenye
kijiji cha Samazi
kilichopo mwambao wa
ziwa hilo na
kupelekea zaidi ya watu
18 kuathirika na
ugonjwa huo na
mmoja kufariki dunia.
Akiongea na
kituo hiki afisa
kilimo na uvuvi
wilayani humo Wilbroad
kansapa , amesema wametoa taarifa
kwa viongozi wa
nchi jilani ya
Zambia hususani katika
maeneo ya Mpulungu
na Mbala na
wilaya jilani ya
Nkasi juu ya
zuio hilo na kuwa
kwa kutambua hilo
wamenzisha doria ya
kuzungukia ziwa hilo kwa
lengo la kuhakikisha
wavuvi kutoka nchi
jilani hawaingii kuvua
upande wa nchi ya
Tanzania .
Kwa upande wake
afisa uvuvi katika
kata ya samazi Medadi
Hosea, amesema kwa kushirikiana na viongozi
wa serikali za
vijiji wamepiga malfuku
wananchi kuogelea ziwani
na kuwa atakae
kamatwa atalipshwa faini
ya shilingi elfu
hamasini (50000/=).
Kwa upande wake
afisa uvuvi katika
kata ya samazi Medadi
Hosea, amesema kwa kushirikiana na viongozi
wa serikali za
vijiji wamepiga malfuku
wananchi kuogelea ziwani
na kuwa atakae
kamatwa atalipshwa faini
ya shilingi elfu
hamasini (50000/=).
0 comments:
Post a Comment