"Hata tusiokuwa na PhD tunatakiwa kusikilizwa" – Aeshi
Published on 19 Jun 2017
Mbunge
wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilaly alikuwa miongoni mwa Wabunge
waliowasilisha mapendekezo yao katika Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka
wa fedha 2017/18 ambapo aliitaka Serikali kuacha kupuuzia baadhi ya
michango ya watu ambao wanaonekana hawana elimu za juu ili
kuwarahisishia kujua changamoto zilizopo mitaani.
KAPOLA NEWZ....
0 comments:
Post a Comment