Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)
linawaomba radhi wateja wake wa Isaka, Kagongwa na maeneo yanayozunguka
kutokana na kukosekana kwa huduma ya umeme kuanzia Jana tarehe
24/06/2017 saa 08:53 Mchana mpaka leo tarehe 25/06/2017 .
SABABU
Kutokana na hitilafu iliojitokeza kwenye laini ya Tinde/Kagongwa inayohudumia maeneo hayo na kusababisha kukosekana kwa huduma.
MAENEO YANAYOATHIRIKA
Ni maeneo yote kuanzia Isaka hadi Kagongwa
UTATUZI
Mafundi wetu wapo kwenye laini
wanaendelea na jitihada za kutambua hitilafu hiyo iliyosababisha
ukosefu wa huduma ili kuweza kurebisha tatizo na kurejesha huduma mapema
iwezekanavyo.
Uongozi unaomba radhi Kwa usumbufu wowote unaoendelea kujitokeza.
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja-TANESCO Shinyanga.
0 comments:
Post a Comment