ELIMU YA BURE: WANAUME WANAOPENDA SOKA LEO MPATE ELIMU KIDOGO,

 

Leo napenda #ujumbe ufike kwa jamii na ijifunze ya kua zipo #tabia hatarishi katika #maandalizi ya kufanya #mapenzi haswa kwa vijana wa kisasa.
Ni muhimu kutambua ya kuwa #chumvini_au_kupiga_deki ni hatari kuliko Tabia nyingine zote...
#UTAMBUE_UKE
Uke ni kiungo kilichotengenezwa kwa #misuli_ya_kuvutika elastic na ngozi #laini kwa ndani.... Kwa jinsi uke ulivyoumbwa ni rahisi sana #kuhifadhi vimelea na kuvipokea na kuviharibu pia....
#ULINZI_WA_UKE
Uke unaweza kujilinda dhidi ya vimelea kwa #kuzalisha kemikali zenye asili ya #tindikali yaani #ACIDS
UKE mara nyingi hubeba na kuvitunza vimelea kama #vurusi_bactelia_na_fungi_kuvu.....
Kwa majina ni
*herples simples virus
*valicela zoster
*human papiloma virus
*gonococo
*e.coli & candida ssp
#mdomo wa mwanadamu kwa asili hulinda na #kemikali aina ya #alikali au BASE
MADA YETU.....
Mtu anaponyonya uke,hupelekea #kuharibika kwa #ulinzi wa #mdomo wake na kuanza kukauka.. Kwakua ACID+BASE = CHUMVI +MAJI ..... #vimelea vya ukeni vinapata nafasi moja kwa moja bila kupingwa na #kinga_mwini_ya_kikemia ....
Pichani ni midomo iliyoathirika kwa vimelea vya sehemu za sili za mwanamke.... Na kwa kukosekana au upungufu wa chemikali ya kuulinda mdomo...

Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment