Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam leo
March 30 2017 imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya
Kilombero dhidi ya Mbunge Peter Lijualikali baada ya kukubali kuwa hati
ya mashtaka iliyomtia hatiani ilikuwa na mapungufu. Nje ya mahakama hiyo
wazazi wa mbunge huyo walipata nafasi ya kuzungumza. Bonyeza play hapa chini kuitazama
Home / Habari
/ VIDEO: Wazazi wa Mbunge Lijualikali baada ya mahakama kutengua hukumu ya mbunge huyo
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment