Baada ya jana Nape Nnauye kuzungumza na waandishi wa habari akiwa juu
ya gari kufuatia mkutano wake aliokuwa ameuandaa kuzuiliwa usifanyike.
Mkutano huo ulipangwa kufanyika ikiwa ni baada ya taarifa kutoka IKULU
zilizotangaza kuvuliwwa uwaziri, sasa leo asubuhi kupitia accpout yake
ya twitter Nape Nnauye ameyaandika haya…
‘Wanahabari mme GUSA sana moyo
wangu!Sikujua kama mnanipenda na kunithamini kiasi KILE!Nawashukuru SANA
kwa kujitolea kwenu!Nawapenda SANA!’
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment