Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro
leo March 10 2017 amekutana na waandishi wa habari na kutoa taarifa
kuhusu zoezi linaloendelea la ukamataji wa watuhumiwa wa dawa za kulevya
ambapo amethibitisha kuwa wamemkamata mwimbaji Vanessa Mdee ni baada ya kutajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa DSM, Paul Makonda, Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama
Nilichomuuliza Vanessa Mdee baada ya kusikia katajwa kwenye list ya Makonda’– Mimi Mars, Bonyeza play hapa chini
0 comments:
Post a Comment