Moja kati ya stori zinazotawala katika mitandao ya kijamii kwa siku hizi mbili ni kuhusiana na staa wa kimataifa wa Argentina anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi kufungiwa michezo minne na shirikisho la soka ulimwenguni FIFA.
Lionel Messi alifungiwa mechi nne na FIFA kwa kosa la kudaiwa kumtukana muamuzi wakati wa mchezo dhidi ya Chile uliyochezwa March 24 2017, baada ya kufungiwa Lionel Messi alikuwa kakaa kimya lakini leo mtandao wa bleacherreport umempata Lionel Messi.
“Maneno yangu hayakuwa yamemlenga moja kwa moja muamuzi
msaidizi, kuna maneno ambayo yalikuwa yamesemwa kwangu mimi nilijisemea
tu” >>> Lionel Messi
VIDEO INAYOMUONESHA LIONEL MESSI AKITOA LUGHA CHAFU
ALL GOALS: Taifa Stars vs Botswana March 25 2017, Full Time 2-0
0 comments:
Post a Comment