Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma, Titus Kaguo amesema bei za jumla na rejareja kwa Petrol, mafuta ya Taa na Diesel zimebadilika ikilinganishwa na kipindi cha mwezi March.
Petrol imepungua kwa Shilingi Tatu kwa lita ambazo ni sawa na asilimia 0.13 huku bei ya rejareja ya Diesel ikiongezeka kwa Shilingi 12 kwa lita na bei ya mafuta ya Taa ikipanda kwa Shilingi saba.
Bonyeza play kwenye hii video kutazama…
VIDEO: Zitto Kabwe asema Rais ameonesha nia njema ya kuongoza nchi. Bonyeza play kutazama.
0 comments:
Post a Comment