VIDEO: ‘Rais ameonesha nia njema ya kuongoza nchi’ -Zitto Kabwe

 

April 4, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kumteuwa Prof. Kitila Alexander Mkumbo ambaye pia ni kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amekuatana na waandishi wa habari Dodoma kuzungumzia hilo na tayari nimekuwekea. Full video hapa chini…


VIDEO: Wabunge walivyosimama kumshangilia Rais mstaafu Kikwete 




Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment