Mkuu wa
wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa Saidi Mtanda amepokea mipira 20 kutoka
katika benki ya NMB ikiwa ni mchango wa benki hiyo ili kuimarisha michezo.
Meneja wa Nmb tawi la namanyere iliyopo wilayani
nkasi Leonidasi Njelwa amekabidhi mipira 20 kumi kati ya hiyo kwaajili
ya soka wilayani humo.
Mkuu wa wilaya ya nkasi na katibu wa CCM mkoa
wa Rukwa wakizungumza baada ya kupokea msaada huo wameishukuru NMB na kuwaomba
wadau wengine kujitokeza kuchangia vifaa ili kuinua michezo katika wilaya hiyo.
WRITTEN
BY PETER KAPOLA ;0764033168
0 comments:
Post a Comment