VIDEO: Harmonize na Rich Mavoko walivyoitambulisha ‘Show Me’ Mbagala

 

Moja kati ya vitu mashabiki walikuwa wakivisubiri kwenye uwanja Zakhem Mbagala kuviona ni pamoja na show ya wakali wawili kutoka WCB, Rich Mavoko na Harmonize walipoitambulisha kwa Mara ya kwanza mdundo wao mpya wa ‘Show Me‘ kwa watu wao Mbagala

 


Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment