Kwa mujibu wa wakili wake aitwae Reuben Simwanza ameiambia millardayo.com kuwa kesi imeahirishwa mpaka tarehe 13 mwezi April kwa kosa la matumizi ya dawa hizo.
‘Kwa kifupi ni kweli kesi imekuja leo Mahakama ya Kinondoni amesomewa shtaka kwa mara ya kwanza kuhusu sheria ya madawa ya kulevya na usafirishaji wa madawa haramu, kimsingi madawa yalitajwa kwa lugha inayoeleka ni marujuana huku mshtaki amekana mashtakiwa hayo hiyo yuko nje kwa dhamana na kesi itatajwa tena tarehe 13/4/2017 ndio atarudi Mahakamani’- Wakili
ULIIKOSA HII YA AGNES GERALSD ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI FEB 22 BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA
0 comments:
Post a Comment