CRYSTAL PALACE ILIVYOITWANGA ARSENAL ZAHA AKIIBUKA MCHEZAJI BORA WA MCHEZO

 
Crystal Palace imeadhibu Arsenal kwa kuichapa mabao 3-0 katika mechi ya Ligi Kuu England huku mshambulizi Wilfred Zaha akiwa mchezaji bora wa mechi.

Pamoja na kutofunga hata bao moja, Zaha raia wa Ivory Coast alitengeneza kwa kutoa pasi mbili zilizozaa mabao.

Baada ya mechi hiyo ambayo Arsenal walichelewa kufika uwanjani kutokana na foleni, mashabiki walianza kuimba na kupiga kelele wakitaka Kocha Arsene Wenger, aende zake.







Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment