Published on Apr 25, 2017
Baada
ya serikali kupiga marufuku unywaji na ufanyaji biashara ya vinjwaji
aina ya viroba huku ikiweka sheria kwa wale watakaokiuka agizo hilo,
Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilaly ameitaka serikali kuwalipa
wafanyabiashara ambao tayari walikuwa wameagiza bidhaa hizo toka
viwandani kabla ya agizo la serikali kutolewa.
0 comments:
Post a Comment