Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, jana.
Mashabiki
hao walijitokeza wakati Simba ikiivaa Mbao FC katika mechi iliyoisha
kwa ushindi wa mabao 3-2 walioupata Wekundu hao wa Msimbazi.
Simba
ilikuwa nyuma kwa mabao 2-0 hadi dakika ya 82. Lakini mabao mawili ya
Frederic Blagnon na Muzamiru Yassin aliyemaliza kazi katika dakika za
nyongeza.
0 comments:
Post a Comment