Mbunge
wa Sumbawanga Mjini (CCM), Aeshi Hillaly amesema yeye ni mmojawapo wa
wabunge waliotishwa na Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Dar es
Salaam ,Paul Makonda mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.
Amesema hayo leo wakati akichangia hotuba ya bajeti waziri mkuu na taasisi zake kwa mwaka 2017/18.
Amesema yuko tayari kutoa ushahidi ukihitajika na kwamba anaogopa kwenda mkoa huo hivi sasa ingawa anapatamani.
0 comments:
Post a Comment