Kipenzi cha wa Tanzania na
Nahodha wa Stars Mbwana Ally Samatta jana amefunga bao moja timu yake,
KRC Genk ikishinda 4-0 Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk dhidi ya
Lokeren katika mchezo wa mchujo wa kuwania kucheza UEFA Europa League
msimu ujao Mchezo wa kundi B.
Samatta alifunga bao lake dakika ya 72, likiwa la pili katika mchezo huo baada ya Alejandro Pozuelo kutangulia kuifungia Genk la kwanza dakika ya 45 na kabla ya Jean-Paul Boetius kufunga la tatu dakika ya 77 na Jose Naranjo kumalizia la nne dakika ya 90.
Kikosi cha KRC Genk kilikuwa:
Ryan, Castagne, Brabec, Colley, Uronen, Berge, Pozuelo,
Malinovskyi/Heynen dk68, Trossard, Boetius/Buffalo dk83 na
Samatta/Naranjo dk79.
Lokeren: Verhulst, Maric, Skulason, Person, De Sutter, Galitsios, Ofkir, Hupperts/Stra Sunsetman dk61, Ticinovic/De Prycker dk77, na De Ridder Bolbat/Martin dk58.
Lokeren: Verhulst, Maric, Skulason, Person, De Sutter, Galitsios, Ofkir, Hupperts/Stra Sunsetman dk61, Ticinovic/De Prycker dk77, na De Ridder Bolbat/Martin dk58.
0 comments:
Post a Comment