Leo April 28, 2018 Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameandika katika ukurasa wake wa Twitter “Kazi ya Polisi ni kazi zenye heshima ni kazi ya kujitolea kwa ajili ya wengine,”
“Sura hii imepotea na kuna chuki kubwa ambayo ni hatari kwa ustawi wa nchi. Matukio dhidi ya raia yanaleta wasi wasi katika nchi. Kiongozi anayejali nchi hapaswi kuwa kipofu na asiweze kuona mambo haya” -ameandika Lema
Maneno haya anayaandika kukiwa na msiba wa Mdogo wa Mbunge Heche, hacha Heche Suguta ambaye inadaiwa ameuawa na Polisi kwa kuchomwa kisu.
0 comments:
Post a Comment