RAIS MAGUFULI AMLILIA ABBAS KANDORO


"Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mkuu wa mkoa mstaafu Abbas Kandoro,nawapa pole wana familia,ndugu,jamaa na marafiki wote walioguswa na msibu huu,pamoja na wananchi wa mikoa ya Tabora,Arusha,Dar es salaam,Mwanza na Mbeya ambako aliwahi kuwa mkuu wa mkoa" - Rais Magufuli 
Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment