Friday, March 1, 2019 Updates: Mwili wa Ruge Mutahaba Wawasili Nchini....Safari ya Kuelekea Hospitali ya Lugalo Imeanza


Mwili wa  Mkurugenzi  wa Vipindi na Uzalishaji  Clouds Media Group, Ndugu Ruge Mutahaba  umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ukitokea Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.

Aliyeongoza mapokezi ya Mwili wa Ruge Mutahaba ni Waziri January Makamba akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es aalaam pamoja na Mkurugenzi wa Clouds Media Group.
Gari lililobeba mwili wa marehemu Ruge Mutahaba likiwa linaondoka Airport kuelekea hospitali ya Lugalo.
Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment