Leo April 18, 2019 tukiwa tunaelekea siku ya Ijumaa kuu, siku ambayo Wakristo ulimwenguni wanakumbuka mateso ya Yesu Kristo aliyekuja duniani takribani miaka 2000 iliyopita. AyoTV imeamua kuwaletea historia ya mtu ambaye ameigiza filamu ya Yesu inayofahamika kwa jina la ”JESUS” ambayo iliigizwa mnamo mwaka 1979 huko nchini Israel.
Kapola newz TV imeamua kufanya hivi baada ya kuona ni kwa jinsi gani filamu hiyo imekuwa ikigusa maisha ya watu wengi kiasi kwamba baadhi ya watu wanasahau kwamba mtu aliyemo kwenye filamu hiyo ni mwigizaji tu na siyo Yesu.
Mwigizaji mwenyewe amekiri kwamba wakati wa uigizaji alikuwa akisuluhisha mambo yaliyokuwa yakijitokeza yeye na waigizaji wenzake baada ya wao kusahau kwamba yeye si Yesu bali anaigiza tu. Bonyeza PLAY hapa chini kuifahamu historia.
0 comments:
Post a Comment