Mkuu wa Mkoa wa #Rukwa, Queen Sendiga amesema wenza wenye Watoto hawatakiwi kuachana badala yake wanatakiwa kuwa pamoja kulea Watoto
Amewaagiza Viongozi wa Serikali za Vijiji na Kata Mkoani hapo kuwachukulia hatua kali za kisheria ikiwemo kuwafikisha kwenye vyombo vya dola Vijana watakaobainika kushindwa kulea Watoto na kuzitelekeza Familia zao.
KapolanewsUpdates ✍️
0 comments:
Post a Comment