Jana Kamanda wa Polisi Kanda maalumu DSM alizungumza na waandishi na moja ya kitu alichozungumza ni kuhusu askari waliotuhumiwa kwenye mauaji ya Akwilina ambapo alisema askari hao wameachiwa baada ya kuonekana kuwa hawajahusika.
Baada ya kauli hiyo Baraza la vijana CHADEMA wamezungumza na waandishi kufuatia kauli hiyo ya Kamanda Mambosasa na kutoa ombi kwa President Magufuli kuunda tume ambayo itachunguza mauaji mbalimbali yaliyotokea kama ya AKWILINA.
0 comments:
Post a Comment