Leo July 25, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema kuwa fedha ambazo zingetumika kwa ajili ya sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya Mashujaa kitaifa, zimetumika kuboresha Miundombinu ya barabara 2 za Jiji la Dodoma.
Waziri Mkuu ametangaza uamuzi huo akiwa anahitimisha zoezi la kufanya usafi aliloliongoza yeye akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi.
0 comments:
Post a Comment