Lugola ageukia Bodaboda ampa IGP Sirro maagizo mapya


Waziri wa Mambo ya ndani amemuagiza IGP Simon Siro kuandaa orodha ya miaka mitano ya takwimu kuhusu matukio ya utekaji na uuaji wa waendesha bodaboda nchini.

Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment