Shirika la umeme Tanzania TANESCO Linawatangazia wateja wake wa mkoa wa Rukwa kuwa Kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo;
Tarehe 24/08/2018 Muda ni kuanzia saa 03:00 Asubuhi hadi saa 09:00 Alasili Siku ya kesho Ijumaa, Sababu ni kukata miti iliyo karibia line ya umeme.
Maeneo yatakayo Athirika, Wilaya ya sumbawanga vijijini ni pamoja na kijiji cha MHAMA,MTIMBWA,MATANGA,KISUMBA Pamoja na wilaya ya KALAMBO.
Tafadhari Usishike waya ulio katika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo;-
DAWATI LA HUDUMA KWA WATEJA NA DHARURA SUMBAWANGA +2252161120
Tunaomba Radhi kwa usumbufu utakao Jitokeza.
LIMETOLEWA NA;-
Mhandisi FRENK ELISAFILI CHAMBUA
KAIMU MANAGER MKOA TANESCO - RUKWA.
0 comments:
Post a Comment